Nafasi Ya Matangazo

December 22, 2015

 Mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba Akiwa anaimba mbele ya washabiki wake waliouthuria onyesho  la bendi hiyo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Triple A  uliopo ndani ya jiji la Arusha
 wanenguaji wa bendi ya Fm Academia wakifanya mambo ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha
 washabiki wa bendi ya Fm Academia wakiwa wanacheza nyimbo ya heshima kwa wanawake iliyokuwa ikipigwa bendi hiyo.
 washabiki wa fm wakiwa waangalia show ya nguvu iliyokuwa inadondoshwa na bendi hiyo
 Mwanamziki wa kingombe blaise akiwa na mmoja wamashabiki wake waliouthuria show hivyo
washabiki wa bendi ya  fm Academia wakiwa wanaendelea kucheza sebene la nguvu lilokuwa likidondoshwa na bendi hiyo  
picha zote na Woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog
Posted by MROKI On Tuesday, December 22, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo