Rais wa Kenya amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri na
kuwaacha wote ambao wizara zao zilikumbwa na tuhuma za ufisadi.
Rais Kenyatta amechukua hatua hiyo siku moja tu baada ya
kutangaza ufisadi kuwa tishio kwa usalama wa kitaifa. Rais ameahidi
kufanya mabadiliko zaidi katika afisi yake hivi karibuni.
Katika
hotuba ilioonyeshwa kwa njia ya Televisheni, Rais Kenyatta ameongeza
idadi ya wizara kutoka 16 hadi 20 na kuongeza idara mpya chini ya wizara
mbalimbali katika kile alichosema ni kusaidia mawaziri kutekeleza
majukumu yao bora zaidi.
Idara hizo zimeongezwa kutoka 26 hadi 41.
Rais
Kenyatta amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri baada ya
mawaziri sita kulazimika kujiondoa kutokana na wizara walizosimamia
kuhusishwa na ufisadi huku wawili kati yao wakikabiliwa na kesi
mahakamani.
BARA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA
- Mining - Dan Kazungu
- Environment - Prof Judy W Wakhungu
- Devolution & Planning - Mwangi Kiunjuri
- Water & Irrigation - Eugene Wamalwa
- Finance – National Treasury - Henry K Rotich KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
- Sports Arts & Culture - Dr Hassan Wario Arero
- Education - Dr Fred Okengo Matiangi
- Transport & Infrastructure - James Macharia
- Agriculture - Willy Bett
- Interior - Gen (Rtd) Joseph K Nkaissery
- Foreign Affairs - Amb Amina Mohamed
- Public Service Youth & Gender Affairs - Sicily Kanini Kariuki
- Tourism - Najib Balala
- Energy & Petroleum - Charles Keter
- Health - Dr Cleopa Kilonzo Mailu
- Labour & EAC Affairs - Phylis J K Kandie
- Defence - Amb Dr Raychelle Awuor Omamo
- Lands - Prof Jacob T Kaimenyi
- Industrialization - Adan Mohamed
- ICT - Joe Mucheru
- Attorney General - Prof Dr Githu Muigai
MAKATIBU WA KUU WA WIZARA HAWA HAPA
- Agriculture- Richard Lesiyampe
- Arts, Culture - Joe Okudo
- Basic Education - Dr Belio Kipsang
- Broadcasting & Telecommunications - Sammy Itemere
- Cooperatives - Ali Noor Ismail
- Correctional Services - Micah Powon
- Defence - Amb Peter K Kaberia
- Devolution - Mwanamaka Mabruki
- EAC Integration - Betty Chemutai Maina
- Energy - Eng Joseph Njoroge
- Environment - Charles Sunkuli
- Fisheries - Prof Ntiba Micheni
- Interior - Eng Karanja Kibicho
- Youth and Public Service - Lilian Omollo
- Health - Nicholas Muraguri
- Housing & Urban Development - Aidah Munano
- ICT & Innovation - Victor Kyalo
- Industry & Enterprise Development - Julius Korir
- Infrastructure - John Musonik
- Foreign - Dr Amb Monica Juma
- International Trade - Dr Chris Kiptoo
- Irrigation - Patrick Nduati Mwangi
- Labour - Khadija Kassachoom
- Lands - Mariam El Maawy
- Livestock - Dr Andrew K Tuimur
- Maritime Commerce - Nancy Karigithu
- Mining - Dr Mohammed Ibrahim Mahmud
- National Treasury - Kamau Thugge
- National Water Services - Fred Sigor
- Natural Resources - Dr Margaret Mwakima
- Petroleum - Andrew Kamau Nganga
- Planning & Statistics - Saitoti Torome
- Public Works - Dr Paul Maringa Mwangi
- Social Security & Services - Susan Mochache
- Special Programmes - Josepheta Mukobe
- Sports Development - Richard Ekai
- Tourism - Fatuma Hersi
- Transport - Wilson Nyakera Irungu
- University (Higher) Education - Prof Colleta Suda
- Vocational & Technical Training - Dr Dinah Jerotich Mwinzi
- Gender Affairs - Zeinab W Hussein
0 comments:
Post a Comment