Katibu Mtendaji wa
Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya
akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya
wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la
Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili
kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika
nchi za EAC Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika Mashariki(EABC)Lilian Awinja akizungumza katika mkutano huo.
Waandishi wa habari wakifatilia kwa makini kwaajili kuuhabarisha umma.
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment