Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipanda mti wa kumbukumbu, katika Kituo
cha Afya cha Kashinga, kata ya Nyakisasa, alipokagua ujenzi wa kituo
hicho cha afya akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CM
na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera, leo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika
mkutano wa hadhara aliofanya leo Ngara mjini, akiwa katika ziara ya
kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama, katika wilaya ya
Ngara mkoani Kagera
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wa
hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aliofanyika leo mjini
Ngara mkoani Kagera
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipatiwa maelezo kuhusu mradi wa maji
katika mji wa Ngara akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa Ilani ya
CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera, leo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akijadili jambo na Mkuu wa mkoa wa
Kagera, alipokuwa akikagua ujenzi wa mradi wa Umeme Vijijini (REA)
katika mji wa Ngara mkoani Kagera leo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikata keki kuzindua akizindua Chama
cha Maendeleo ya Kina mama wa Wilayani Ngara mkoani Kagera kabla ya
kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Ngara leo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidia kumpatia bati fundi aliyekuwa
akipaua, wakati alipotembelea jenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Mujebwe,
wilayani Ngara mkoani kagera leo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwisha ndoo ya maji Francisca
Katana, baada ya kuzindua mradi wa maji wa Kijiji cha Rulenge wilayani
Ngara mkoani kagera
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa hadhara wa Kinana uliofanyika katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera
Mmoja
wa wazee wa Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera
akiomuonyesha vielelezo kuhusu kero za mashamba zinazowakabili wananchi
wa kijiji hicho, leo
Burudai zikiendelea baada ya mkutano mkubwa wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofanyika leo katika kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera leo. picha zote na Bashir Nkoromo
0 comments:
Post a Comment