Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, 'Expo
Central China 2015', ulioanza leo Mei 19, 2015 kwenye ukumbi wa mikutano
wa 'Wuhan International Exhibition Centre, uliopo Jijini Wuhan Jimbo
la Hubei nchini China.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya maandalizi ya Maonyesho
ya Biashara ya China 'Expo Central China 2015', wakati akiwasili kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa 'Wuhan International Exhibition Centre VVIP
Room'. Mkutano huo umeanza leo Mei 18 2015 jijini Wuhan, Jiombo la
Hubei.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) akiwa na baadhi ya Viongozi wa nchini China, Katibu wa
Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong
(kushoto) na wengine, wakati alipofungua Maonesho ya Biashara ya China
'Expo Central China 2015', yaliyoanza leo Mei 18, 2015, Jimbo la Hubei,
Jijini Wuhan nchini China.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa na Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la
Hubei, Li Hongzhong (kushoto) wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya
Biashara ya China 'Expo Central China 2015'.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza wa na Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China,
Jimbo la Hubei, Li Hongzhong, baada ya kuzungumza wakati wa ufunguzi wa
maonesho hayo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China, Wang Yang, wakati
walipokutana kwa mazungumzo baada ya Makamu kufungua rasmi Maonesho ya
Biashara ya China, leo Mei 18, 2015 kwenye Ukumbi Mikutano wa 'Wuhan
International Exhibition Centre, jijini Wuhan Jimbo la Hubei nchini
China.
0 comments:
Post a Comment