Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Prof. John Nkoma akitoa
hotuba yake wakati wa ufungumzi wa Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano
nchini na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania wenye lengo la kutoa
mafunzo ya namna ya kutoa taarifa mbali mbali wakati wa Chaguzi mbali
mbali hapa nchini,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani
City,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.
Inginia
Andrew Kisaka akitoa Mada katika Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano
nchini na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania wenye lengo la kutoa
mafunzo ya namna ya kutoa taarifa mbali mbali katika wakati wa Chaguzi
mbali mbali hapa nchini.
Moja ya Mada zinazoendeleo kutolewa katika Mkutano huo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO),Assah Mwambene akitoa hotuba yake wakati
akifunga Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini na wamiliki wa Blogs
(Bloggers) Tanzania uliokuwa na lengo la kutoa mafunzo ya namna ya kutoa
taarifa mbali mbali wakati wa Chaguzi mbali mbali hapa
nchini,unaoendelea kufanyika hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa
Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wanablog waliohudhulia Mkutano huo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment