Mbunge
wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na
wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge
leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi
baadae kidogo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment