Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe. Dkt.
Injinia Binilith Satano Mahenge (wapili kushoto), akizungumza na
Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira,
kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika Migodi ya Bulyankulu,
North Mara, Geita na Buzwagi, wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais Mhe. Ummy Mwalimu, akiwa pamoja na Mbunge wa Mafia,
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe.
Abdulkarim Hassan Shaha
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Mazingira,wakifuatilia hotuba inayotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais (Mazingira), Muheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano
Mahenge
0 comments:
Post a Comment