Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), pia na Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahamoud Hamid(kushoto) akisoma taarifa kuhusu
kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa
mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye
ukumbi wa mikutano wa NEC.Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julias Malaba.
Baadhi ya Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC) na waandishi wa habari kuhusu taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa mkutano na waandishi
wa habari uliofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC.Kulia
ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julias Malaba.
aadhi ya Watendaji wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi(NEC) wakifuatilia mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment