Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tamisemi, Mh. Hawa A. Ghasia, akitoa neno kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mkopo wa elimu ya juu‘Piga Kitabu na LAPF’
Uzinduzi rasmi wa Piga Kitabu na LAPF ulipambwa na shamrashamra za aina yake.
Waziri
Wa Nchi, Ofisi Ya Waziri Mkuu -Tamisemi, Hawa Ghasia, akimkabidhi mfano wa hundi Mwanachama
wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Rolland
Lyamuya mkopo wa elimu ya juu kupitia huduma mpya ya mikopo kwa wanachama wa
mfuko huo iitwayo ‘Piga Kitabu na LAPF’ iliyozinduliwa juzi jijini Dar es
Salaam.
Mgeni rasmi wa hafla ya uzinduzi wa Piga Kitabu na LAPF Mh. Hawa A. Ghasia akipokea zawadi ya kitabu cha Nelson Mandela kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF.
Baadhi
ya wageni waalikwa walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa ‘Piga
Kitabu na LAPF’ Mkopo wa elimu ya juu kwa wanachama wa LAPF iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Vijana kutoka Kigamboni Community Centre wakitoa burudani ya ngoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa ‘Piga Kitabu na LAPF’ huduma mpya ya mikopo ya eilimu ya juu kwa wanachama wa LAPF, iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo.
0 comments:
Post a Comment