Nafasi Ya Matangazo

August 07, 2014

Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Irene Isaka akifurahia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Dodomajuzi.
Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wakimsikiliza Waziri wa Kazi na Ajira Dk Gaudensia Kabaka,kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)
 Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja na  Waziri wa Kazi na Ajira Dk Gaudensia Kabaka na Naibu wake Makongoro Mahanga.
Posted by MROKI On Thursday, August 07, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo