WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIKAGUA
UJENZI WA MAKARAVATI YA DUARA (PIPE CULVERTS) KATIKA ENEO LA MKANDARASI
WAZIRI WA UJENZIDKT. JOHN MAGUFULI AKISHUKA KUANZA
UKAGUZI WA DARAJA LA KYARANO LENYE UREFU WA MITA 53.5 NA UPANA WA MITA 10
KWENYE BARABARA YA MAKUTANO-NYAMUSWA-IKOMA SEHEMU YA MAKUTANO NATTA KM 50.
WAZIRI
WA UJENZIDKT. JOHN MAGUFULI WAPILI KUTOKA KUSHOTO AKIPITA KWENYE MOJA YA NGUZO
ZA DARALA LA KYARANO KATIKA WILAYA YA BUTIAMA MKOANI MARA
DKT. JOHN MAGUFULI AKISALIMIANA NA MBUNGE WA
BUTIAMA NIMROD MKONO BAADA YA KUKAGUA KAZI ZA UFYATUAJI WA MAKARAVATI YA DUARA
(PIPE CULVERTS) KATIKA ENEO LA MKANDARASI
DKT. JOHN MAGUFULI AKITETA JAMBO NA MBUNGE WA BUTIAMA
NIMROD MKONO KABLA YA KUHUTUBIA MAMIA YA WAKAZI WA BUTIAMA KATIKA ENEO LA
MAKUTANO KUHUSU UJENZI WA BARABARA YA MAKUTANO NATTA YENYE UREFU WA KILOMITA 50
0 comments:
Post a Comment