Mhe. Gaudentia Kabaka, Waziri wa Kazi na Ajira akipata
ufafanuzi kuhusu mpango wa uchangiaji wa Wakulima na wachimbaji wadogo wa
madini kutoka kwa Meneja Kiongozi Uhusiano na huduma kwa wateja Mrs Eunice
Chiume wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) alipotembelea Banda la
Shirika hilo katika Maonyesho ya 38 ya Kibiashara (Sabasaba)
Mh.Gaudentia Kabaka, Waziri wa Kazi na Ajira akipata maelezo kuhusa mradi wa DEGE ECO VILLAGE kutoka kwa Mhandisi Julius Nyamuhokya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) alipotembelea Banda la Shirika hilo leo katika Maonyesho ya Sabasaba. Kulia ni Meneja Kiongozi, Uhusiano na Huduma kwa wateja wa NSSF Mrs Eunice Chiume.
0 comments:
Post a Comment