Mwenyekiti
wa Bodi ya Chuo cha
Ufundi Arusha(ATC)Abraham Nyanda akisoma hotuba yake wakati wa kufunga
Mafunzo Unganishi(Bridging Course)yatakayowawezesha kujiunga na mafunzo
ya Stashahada
ya Uandisi,kushoto ni Mtaalam wa Umwagiliaji kutoka Japan,Nobuyoshi
Fujiwara na Mkuu wa Chuo,Dk Richard Masika.
Baadhi ya wanafunzi waliomaliza Mafunzo
Unganishi(Bridging Course) na Kozi Awali(Pre-Entry Course)wakiwa makini kusikiliza hotuba ya Mgeni rasmi,mafunzo yatawawezesha kujiunga na mafunzo ya Stashahada(Diploma)
ya Uandisi katika Chuo
cha Ufundi Arusha.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk
Richard Masika akimpongeza mmoja wa wanafunzi waliohitimu mafunzo hayo,Aneth
Chotto wakati akijiandaa kupokea Cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo
hicho,Abraham Nyanda.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha
Ufundi Arusha(ATC)Abraham Nyanda akimkabidhi Cheti mmoja wa wanafunzi
waliohitimu mafunzo hayo.
Uongozi wa Chuo katika picha ya
pamoja na wahitimu wa kike wanaotarajiwa kujiunga katika ngazi ya Stashahada ya Uandisi.
0 comments:
Post a Comment