Mke wa rais, Salma Kikwete, (Kushoto), akipatiwa maelezo na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biasharaya
Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini
jana, Julai 4, 2014
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili
kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F.
Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam Ijumaa Julai 4,
2014.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisalimiana
na baadhi ya wanachama wapya wa mfuko huo, waliojiunga wakatyi wa
sherehe za siku ya PSPF iliyofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu JK
Nyerere kunakofanyuika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa.
Afisa Mwandamizi wa Mfumo wa Taarifa wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, Mariam I.Saleh, (Kushoto), akiwaeleza maafisa hawa wa polisi, kazi na
huduma mbalimbalin zitolewazo na Mfuko huo, walipotembelea banda la PSPF,
kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam
Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Zuhura Saleh
(Kulia) akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko huo, (Kushoto), aliyetembelea banda la
PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Zuhura Saleh,
(Kushoto), akimpatia maelezo ya kina, mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam juu ya
huduma zitolewazo na Mfuko huo, alipotembelea banda la PSPF, kwenye maonyesho
ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam
Maafisa wa polisi, wakitazama (Mfano), wa nyumba
zinazojengwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambazo hukopeshwa kwa wanachama
wake, wakati walipotembelea banda la Mfuko huo, kwenye maonyesho ya 38 ya
bishara ya kimataifa Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini.
Anayewahudumia, ni Afisa uwekezaji, Hamidu Ngororo.
Afisa Mwandamizi wa Mfumo wa Taarifa wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, Mariam I.Salehakimsikiliza Mwnaachama aliyetembelea banda la PSPF, kwenye
maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere
jijini Dar es Salaam
Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Zuhura Saleh
(Kulia) akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko huo, (Kushoto), aliyetembelea banda la
PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment