Mwandishi
wa habari wa Shirika la Utangangazi la Tanzania (TBC) Fatma Matulanga
akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika uandishi
wa Habari za Biashara Kimataifa (Global Business Journalism) kutoka
Chuo Kikuu cha Tsinghua, kilichopo Beijing nchini China leo Ijumaa. Bi
Matulanga ni miongoni mwa wahitimu 20 kutoka nchi 16 duniani, akiwa wa
pekee kutoka bara la Africa katika darasa lake.
Fatuma Matulanga akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa Professor Fan Hong wakati wa mahafali yao leo.
Wahitimu mbalimbali kutoka nchi 16 wakifurahia kumaliza kwao chuo.
0 comments:
Post a Comment