Mbunge wa Jimbo la
Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwapokea
wanachama wapya zaidi ya 100 walioamua
kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya mbunge huyo kumaliza hotuba
yake
Wananchi wa Kata ya Mganza wakimfurahia Mbunge
wa Jimbo lao la Chato Mheshimiwa Dkt. John Magufuli wakati akiwahutubia na
kuwasisitiza wafanye kazi kwa bidii ili waweze kujiletea Maendeleo
Wanachama wapya wa
Chama cha Mapinduzi kata ya Mganza wakila kiapo mbele ya Mbunge wao Mheshimiwa
Dkt.John Magufuli ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi baada ya kukabidhiwa kadi za
uanachama hivi leo.
0 comments:
Post a Comment