Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hupata fursa ya kujionea
na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujua fursa ya kujipatia mikopo ya
nyumba kama huyu (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF lililoko kwenye
maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya
Mwalimu Nyerere, jijini
Afisa wa PSPF, (Kushoto), akimpatia maelzo ya kina mwanachama huyu aliyefika kwenye banda hilo
Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, (Kushoto), akiuliza
maswali huku Afisa Masoko wa Mfuko huo, Bi. Rahma, akimsikiliza kwa
makini, wakati alipotembelea banda la PSPF, lililo kwenye maonyesho ya
38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu
Nyerere, jijini
Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hutoa huduma kwa wanachama wake kwa
njia mbalimbali ikiwemo ile ya "Kiosk", ambapo bila shaka Mwanachama
huyu (Kulia), alihitaji kujua utendaji kazi wake, na hapa anapatiwa
maelezo ya klutosha
Afisa nmwandamizi anayeshughulikia
mifumo ya taarifa na elektroniki wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mariam
Saleh (Kulia), akijadiliana jambo na maafisa wengine wa Mfuko huo juu ya
namna bora ya kutoa huduma kwa wanachama na wananchi wanaotembelea
banda la PSPF kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere maarufu kama Sabasaba









0 comments:
Post a Comment