Watu
zaidi ya 6 wamepoteza maisha papo hapo na wengine 12 kujeruhiwa vibaya kwenye ajali ya Daladala inayofanya
safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya
kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo hali
iliyompelekea dereva huyo kuhama mpaka upande wa pili wa barabara na
kulivaa lori kwa nyuma.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa kuwa ni mwendo
kasi.
Ajali hiyo inadaiwa kuhusisha magari manne yaliyo gongana huku Daladala hilo ndilo likiwa limep[ata madhara makubwa.
Ajali hiyo inadaiwa kuhusisha magari manne yaliyo gongana huku Daladala hilo ndilo likiwa limep[ata madhara makubwa.

Hili ndilo lori lililokuwa likipita katika upande huo wa Barabara na kufatwa na daladala hiyo.

0 comments:
Post a Comment