Nafasi Ya Matangazo

June 21, 2014


Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (wapili kushoto) akiwa ameshikana mikono na Afusa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (wapili kulia) na Mwakilishi wa wastaafu, Unice Temu wakati wa uzinduzi wa huduma ya mikopo kwa Wastaafu inayotolewa na TPB na PSPF, Dar es Salaam jana.
Wafanyakazi wa TPB wakifuatilia uzinduzi huo.
Baadhi ya maafisa wa PSPF, wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakitokea kwenye uzinduzi huo.
Goddard Rutashubanyuma Mutoma ambaye ni Mstaafu akitoa ushuhuda namna alivyopata taarifa za mikopo hiyo hadi kuupata.
Mstaafu Pudenciana Gwaka akitoa ushuhuda wa namna mikopo hiyo ilivyo msaidia.
Msanii wa klughani mashairi, Mrisho Mpoto alikuwepo kutoka burudani.
Baadhi ya maafisa wa benki ya posta Tanzania (TPB) na wenzao wa PSPF, wakifuatilia magtukio yaliyokuwa yakitokea kwenye uzinduzi hu
Afisa Mkuu Mtendaji wa TPB, Sabasaba Moshingi akizungumza.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza.
Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu Kiongozi -Mstaafu, Philemon Luhanjo akizungumza na kuzindua huduma hiyo.
Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi ( kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu wakipongezana.
Huu ndio mpango mzima uliozinduliwa.
Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto-Waliokaa), Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi (Wakwanza kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (Watatu kushoto) na Mstaafu Eunice Temu, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wastaafu wa kwanza kufaidika na mikopohiyo
Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto-Waliokaa), Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi (Wakwanza kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (Watatu kushoto) na Mstaafu Eunice Temu
Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto-Waliokaa), Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi (Wakwanza kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (Watatu kushoto) na Mstaafu Eunice Temu katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa TPB.
Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto-Waliokaa), Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi (Wakwanza kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (Watatu kushoto) na Mstaafu Eunice Temu wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TBB.
Posted by MROKI On Saturday, June 21, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo