Nafasi Ya Matangazo

June 03, 2014

 Watoto wanaolelewa katika kituo cha Watoto cha SOS Children’s Villagescha Jijini Dar es Salaam wakifanya usafi katika kituo cha Daladala Ubungo ikiwa ni sehemu ya utaratibu wao wa kutoa elimu kwa jamii juu ya utunzaji wa mazigira na usafi.
 Watoto hao wakiendelea kufagia...
 Taka taka zikiwa zimekusnywa na kuhifadhiwa katika mifuko maalum,
 Usafi ukiondelea kwa walezi wa kituo hicho.
 Kazi ya usafi imekwisha
Hii sasa ni kiduku au nini wajamenia
Posted by MROKI On Tuesday, June 03, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo