Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto)
alipokuwa akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika
ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,kabla ya
kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Vingozi mbali mbali na wazee wa Chama
katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,wakiondika
kuelekea nchini leo kwenda Uingereza kwa safari maalum.
0 comments:
Post a Comment