Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group.
Bakhresa Group ni mmoja wapo wa wateja wa CFAO Motors ambao wanamiliki malori ya Mercedes Benz. Bw. Heico Herzog Mtaalamu wa ufundi (Flying Doctor) kutoka Mercedes Benz Ujerumani,(wa tatu kulia) akisimamia shughuli hiyo iliyoendeshwa na Bw. Mushi.
Wengine ni Key Account Manager wa Mercedes Benz, Bw. George Washington (kulia), Meneja wa Usafirishaji kutoka kampuni ya Bakhresa Group, Bw. Abdallah Seif (kushoto), Jarangi Nyabagara ambaye ni fundi wa Mercedes Benz (wa pili kushoto), na aliyechuchumaa ni Mohammed Shariff Meneja wa Karakana ya Bakhresa Group. SOMA ZAIDI HAPA
0 comments:
Post a Comment