Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa hadhara aliofanya leo jioni kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani
mjini Tabora. Kinana amemaliza ziara yake ya siku 11 leo,Mei 18, 2014.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa Tabora mjini.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, bunge wa Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
(Mahusiano na Uratibu) Steven Wassira akihutubia kwenye mkutano huo
ambapo pamoja na mambo mengine, alieleza serikali ilivyotekeleza ilani
yake ya uchaguzi hadi sasa.
Mbunge
wa Sikonge, Said Mkumba kwenye mkutanbo huo ambapo pamoja na mambo
mengine, ameomba sheria zianze kufuatwa kwa viongozi wa siasa
kutojishirikisha na vyama vya ushirika ili kutochanganya amaslahi.
Mbunge
wa Viti Maalum, Ummy Mwalimu akihutubia kwenye mkutano huo na kueleza
mambo mbalimbali muhimu kuhusu mchakati wa katiba mpya.
Mbunge wa Jimbo Mtera, Joseph Lusinde akihutubia kwenye mkutano
Matukio yakienda live kwa kupitia simu. Kulia ni Mbunge wa Nzenga, Hamis Kigwangala.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla, akieleza utekelezaji wa ilani ya CCM
ulivyofanywa na serikali katika huduma ya maji nchini na husuasan mkoa
wa Tabora
Mmoja wa Wazee waasisi wa CCM Tabora akipiga picha ya ukumbusho kwenye mkutano huo
Mbunge wa Urambo, Samuel Sitta akiwasalimia wananchi kwenye mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa Stendi ya zamani ya mabasi mjini Tabora
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye na viongozi na msafara wake kwenda kwenye mkutano.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatma
Mwasa, wakila chakula kwa Mama Lishe wa kwenye stendi mpya ya mabasi
mjini Tabora kabla ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhara.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akila chakula cha Mama lishe wa Tabora
mjini stendi mpya ya mabasi kabla ya kwenda kwenye mkutano wa hadhara,
Kushoto ni Mbunge wa Tabora Aden Rage na Viti Maalum Munde Tambwe.
0 comments:
Post a Comment