Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2014

1 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma pamoja na Mwenyekiti wa (CCM) mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika kijiji cha Wangama kata ya Luhota mahali ambapo pi ndiyo alipozaliwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia (CHADEMA) Bi Grace Tendega, Katika mkutano huo Mwenyekiti wa Chadema katika kijiji hicho Bw.John Mgata amejisalimisha na kurejea CCM ambapo amesema wanachama wengine zaidi ya 50 wamekata shauri na wameamua kumfuata na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). 2Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akimpongeza Bw. Mwenyekiti wa CHADEMA katika kijiji cha Wangama Bw, John Mgata mara baada ya kurejea CCM katika mkutano huo uliofanyika kijijini hapo leo. 3Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Wangama Kata ya Luhota wakati wa mkutano wake wa kampeni kwa ajili ya kuomba kura. 4Msanii Dokii akitumbuiza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Ikuvilo kata ya Luhota. 5Viongozi mbalimbali na makada wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano huo uliofanyika kijiji cha Wangama. 5A 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akipokelewa na wananchi wa kijiji cha Ikuvilo kata ya Luhota wakati alipowasili kijijini hapo kwa ajili ya mkutano wa kampeni leo 6 
Katibu wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa Bw. Hassan Mtenga akimtangaza Mwenyekiti wa CHADEMA kijiji cha Wangama Bw. John Mgata mara baada ua kurejesha kadi na kujiunga na Chama cha Mapinduzi katika mkutano uliofanyika leo kijijini hapo 8Juliana Shonza kada wa CCM kutoka UVCCM Makao Makuu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Wangama kata ya Luhota mkoa. 9 
Wananchi wa kijiji cha Wangama wakipunga mikono yao juu wakati mgombea wa ubunge katika jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa hayupo pichanai alipokuwa akiwahutubia 11 
Wananchi wa kijiji cha Ikuvilo wakipunga mikono yao juu wakati mgombea wa ubunge katika jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa hayupo pichanai alipokuwa akiwahutubia
Posted by MROKI On Saturday, March 08, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo