Rais Dr Jakaya KIkwete, pamoja waziri mkuu mstaafu an mbunge wa
Monduli Mh Edward Lowassa na viongozi wengine katika mazishi ya balozi
Fulgence Kazaura huko Misenyi Kagera
Waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akisalimiana na mkuu wa
zamani wa Chuo kikuu cha dar es salaam balozi Nicolaus Kuhanga huku
Makamu mkuu wa Chuo hicho hivi sasa Profesa Rwekaza Mukandala(katikati)
akisikiliza,wakati wa mazishi ya mkuu wa Chuo hicho balozi Fulgence
Kazaura.
Lowassa akimfariji mjane wa marehemu.
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu balozi Fulgence Kazaura kabla ya
kuzikwa kijijini Mganda wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera jana Jumamosi
0 comments:
Post a Comment