Salam kwa Bloggers wenzangu kokote mliko
Napenda kuchukua fursa hii kuwataarifu kuwa hivi karibuni nilipata
ajali ambayo ilinipelekea kuvunjika kwa mfupa uliopo baina ya shingo. na
bega hivyo natarajia kufanyiwa UPASUAJI SIKU YA J5 Tar.19/2/2014.
MAOMBI YENU YANAHITAJIKA SANA KATIKA HILI
ABDILAHI O.JUMA
MUNGU ATAKUSIMAIA USIOFU TUNAKUWEKA KATIKA MAOMBI KAKA
ReplyDelete