| Leo ni Law Day, tunamsubiri mgeni Rasmi |
| Wanasheria wakimsubiri Mgeni Rasmi |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, (kulia) ambaye ni mgeni mwalikwa katika |
| Siku ya Sheria tumependazaje leo |
| Baadhi ya Mawakili Mashuhuri katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi. |
| Mwanasheria, wakili wa serikali, Elizabeth Minde katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi |




0 comments:
Post a Comment