Nafasi Ya Matangazo

February 11, 2014

Mh Lowassa an mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho ka mwili wa marehemu comrade Mbunge  wa zamani wa Karatu comrade Patrick Qorro
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia Prof. Issa Shivji
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Msataafu na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa wakiondoka eneo la msiba.
Posted by MROKI On Tuesday, February 11, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo