Nafasi Ya Matangazo

January 09, 2014

Sheria za Usalama barabarani zimekuwa zikivunjwa kila siku hasa na madereva na abiria wa pikipiki au maarufu Bodaboda jijini Dar es Salaam na hata mikoani. pichani ni raia wa kigeni wakiwa wamepakiwa kwa staili ya mshikaki katika bodaboda huku wakiwa hawana kofia ngumu za kuwakinga na ajali. Hii ilikuwa Posta mtaa wa Ohio.
Posted by MROKI On Thursday, January 09, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo