Nafasi Ya Matangazo

January 14, 2014

Jenela la aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Habari Leo, Mkoani Manyara, Fortunata Ringo Tayari kwa safari yake ya mwili, katika Maziko yaliyofanyika Leo, Kijijini kwao, katika Kijiji cha Mdawi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Wazazi wa Marehemu, Fortunata Ringo, ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo, Mkoani Manyara,wakifuatilia Ibada ya Maziko ya Mwandishi huyo, ibada iliyofanyika katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Ndugu Jamaa na Marafiki, wakiongozwa na Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, Joseph Lyimo (aliyevaa shati la kijivu), wakiwa wamebeba Jeneza la Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, ukishushwa katika Kaburi lake tayari kwa Safari ya Mwisho. Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, ukishushwa katika Kaburi lake tayari kwa Safari ya Mwisho. Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro
Baadhi ya Waombolezaji wakifukia Mwili wa Marehemu Fortunta Ringo, ambaye enzi za Uhai wake alikuwa ni Mwandishi  wa Gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Mkoani Manyara, Joseph Lyimo, akishiriki kuweka shada la Maua katika Kaburi la aliyekuwa Mwandishi wa Habari Leo, Mkoani Manyara, Fortunata Ringo, aliyezikwa Leo, katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa Letu.com)
Posted by MROKI On Tuesday, January 14, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo