Nafasi Ya Matangazo

November 27, 2013

 
DUNIA HAROUN MZOBORA ambaye maisha yake yamefikia ukomo usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla shinikizo la damu. Ndugu na jamaa walijitahidi kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Aga Khan na baadaye Muhimbili, ambako alifariki dunia muda mfupi baada ya kuwasili. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Tabata Mawenzi na maziko yake mtaarifiwa kadri mambo yanavyokwenda. Hakika kila nafsi itaonja mauti.
Posted by MROKI On Wednesday, November 27, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo