Vicky
Mwakoyo ambaye ni Creative Meneja wa kampuni ya Tan Communication
Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha wakiwa katika picha ya pamoja
na Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni katika uwanja wa General trye.
Wadau wa Tamasha hilo wakishoo love katika uwanja wa General trye huku michezo mbalimbali,ngoma za asili zikichukua nafasi yake katika sherehe za kumuenzi Baba wa Taifa,waandaaji nikampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha wakishirikiana na Kibo Palace Hotel,Pepsi,KK security,Radio 5,Shed and Sons,Shining Stars,DSTV na Trinity.
Muonekano wa maandamano katika jiji la Arusha leo ikiwa ni tamasha la Arusha Festival lenye nia ya kumuhenzi baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere lililofanyika katika uwanja wa General trye,waandaaji nikampuni
ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha wakishirikiana na Kibo Palace Hotel,Pepsi,KK security,Radio 5,Shed and Sons,Shining Stars,DSTV na Trinity.
Wanafunzi
walioshiriki katika Tamasha hilo wakiwa wamebeba bango linaloelezea
Arusha Festive huku pikipiki,tarumbeta zikipamba siku hii katika eneo la
Mnara wa saa jijini Arusha wakiwa wanaelekea katika uwanja wa General
trye
Maandamano hayo yalipambwa na farasi wawili waliokuwa
kivutio kikubwa sana kwa wakazi wa jiji la Arusha na Viunga vyake huku
magari,pikipiki,wanafunzi pamoja na wadau mbalimbali walishiriki katika
Tamasha hilo
0 comments:
Post a Comment