Nafasi Ya Matangazo

October 03, 2013

Wanawake wakazi wa Merela na Doma Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wakiwa katika kilinge chao cha Kuuzia nyanya kama walivyokutwa na mpiga picha wetu hivi Karibuni. Nyanya ndio zao kuu la biashara kwa wakazi wa eneo hilo na vijiji vya jirani vya Kipera, Mlali na Changarawe lakini halina soko la uhakika jambo ambalo limekuwa ni hasara kwa wakulima wengi.
Posted by MROKI On Thursday, October 03, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo