Wakiwa wenye furaha ni Maharusi, Freddy Augustino Mgonja na Mkewe Grace Sixtus Sikanda wakiwa wenye furaha mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa Katoliki Tagaste lililopo Kimara Temboni jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2013. Taafrija ya aina yake ilifanyika katika Ukumbi wa Lamada Ilala.
Wasimamizi wa ndoa hiyo Mroki Mroki 'Father Kidevu' na Mkewe Debora Mroki wakiwa kanisani hapo wakijadili jambo kwa furaha ya kufanikisha usimamizi mzuri wa ndoa hiyo.
Freddy akimvisha pete ya ndoa Mkewe Grace.
Grace akimvisha pete ya ndoa Mumewe Freddy.
Hizi hapa hati miliki zetu...
Picha ya pamoja ya wasimamizi na jamaa ilipigwa
Mametes hao katika pozi
Hii keki ya asili ya Upare ni Kishumba
Maharusi wa wakikata keki yao ya asili.
Freddy akimlisha keki ya asili mkewe
Shangazi wa Freddy akipokea keki
Freddy akika akikabidhi keki kwa wakwe zake.
Kamati ikipokea keki
Wageni waalikwa ndugu jamaa na marafiki.
Maharusi
Ndafu ilikatwakwa umakini...
Ilikuwa furaha hasa pale kawimbo ka 'Chop my Money' kaliipigwa na FK hakuona tabu ku chop money kwa mkewe.
Shangazi Mariam Kikula 'MK' akimpongeza bi harusi
Kamatiu yta maandalizi
Maharusi na wasimamizi wao.
0 comments:
Post a Comment