Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge.
Wanamitindo mbalimbali wakipita mbele ya wageni waalikwa wakatik wa uzinduzi huo
Wanamitindo hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo
Wadau wakipata picha
Wadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo
MC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hilo
Baadhi ya wanakamati wakijitambulisha
Wadau wakifuatilia
Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE .




0 comments:
Post a Comment