Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiruka kwa
furaha mara baada ya kutembelea hifadhi ya Taifa Mikumi wakati warembo hao
walipo tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa
ndani nchini.
Mhafadhi Utalii katika Hifadhi ya Mikumi mkoani
Morogoro, Tutendaga George akiwakawia warembo wa Redds Miss Tanzania 2013 walio
tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani kofia
na CD zilizo na taarifa mbalimbali mbali za hifadhi hiyo ya taifa.
Afisa Msadizi wa uhamasishaji Utalii katika Hifadhi ya
Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Lidya Mandara akiwagawia vitabu vilivyo na
taarifa ya hifadhi hiyo warembo wa Redds Miss Tanzania 2013 walio tembelea
hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa wameketi
katika moja ya sehemu za kupumzikia watalii katika hifadhi ya Taifa Mikumi
wakati warembo hao walipo tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya
kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Afisa Msadizi wa uhamasishaji Utalii katika Hifadhi ya
Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Lidya Mandara akiwaPA MAELEZO warembo wa Redds
Miss Tanzania 2013 juu ya bwawa la viboko na mamba lililopo katika hifadhi hiyo

Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa katika
picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika hifadhi ya taifa Mikumi jana ikiwa
ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
0 comments:
Post a Comment