Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mheshimiwa Charles Kitwanga
akiongea na watendaji kutoka Halmashauri za jiji la Dar es Salaam katika
kikao kazi kilichojadili hifadhi na usimamizi Mazingira. Kikao hicho
kilihusisha pia washiriki kutoka DAWASA, TANROADS na DAWASCO. Watatu
kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Bi. Magdalena
Mtenga.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Godfrey H. Mugoma
akichangia hoja katika kikao kazi cha watendaji wakuu wa Halmashuri za
jiji la Dar es Salaam kilichojadili hifadhi na usimamizi wa Mazingira.
0 comments:
Post a Comment