Mkurugenzi wa Idara ya
Habari MAELEZO, Assah Mwambene (kulia) akizungumza jambo wakati yeye na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni kutoka wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwasoko
walipotembelea banda la Magazeti ya Serikali
Tanzania Standard Newspapers (TSN) Wachapishaji wa magazeti ya Daily News,
HABARILEO, Sunday News, HABARILEO
Jumapili na Spotileo, jana Nzuguni Dodoma. Kushoto ni Afisa Masoko na Mauzo wa
TSN, Chikira Mgheni na Afisa Masoko, Francis Kihinga.
Viongozi hao kutoka
Wizarani walitembelea Taisisi zote zilizo chini Ya Wizara hiyo ikiwa ni Idara
ya MAELEZO, TSN, TBC, BASATA, BODI YA FILAMU, TASUBA, IDARA YA MICHEZO NA ILE
YA VIJANA.
Kihinga akizungumza jambo na Wakurugenzi hao.
Chikira akimkabidhi zawadi Mwasoko.
Mwambene akipokea zawadi kutoka kwa Chikira wa TSN
Wakurugenzi hao walifika banda la MAELEZO na kumkuta Lidya Chuzri na kuwapa maelezo ya banda.
Wakiwa Bodi ya Filamu na Kulia ni Afisa Ukaguzi wa Filamu, Tabu Magembe
Wananchi wakiwa banda la TASUBA
Wakurugenzi wakiwa Banda la TASUBA
Wakiwa Idara ya Michezo
Wakurugenzi wakiwa Banda la Idara ya Vijana
0 comments:
Post a Comment