Nafasi Ya Matangazo

July 01, 2013


Mapokezi ya Rais Barack Obama wa Marekani na Mkewe yalivyokuwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Barack Obama wa Marekani (kushoto) akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari wa Tanzania na Kimataifa Ikulu Jijini Dar es Salaam jioni hii ambapo mbali na kuzungumzia mstakabali wa ziara yake nchini Tanzania na Afrika pia amezungumzia masulala mbalimbali ya Kimataifa ukiwepo mgogoro na Vurugu zinazoendelea nchini Misri na Congo DRC.

  Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria leo Ikulu,

Rais wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle watumbuizwa na ngoma za asili baada ya dhifa ya kitaifa Ikulu Dar es salaam July 1, 2013










Posted by MROKI On Monday, July 01, 2013 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJuly 01, 2013

    Tunaomba Rais Obama aunge mkono Rais Jakaya Kikwete kwa wazo nzuri alilotoa kuhusu amani Mashariki mwa Kongo.
    Uganda na Rwanda wakae meza moja na Waasi wao ili kumaliza vita vinavyo endelea Kongo ya Mashariki.
    Tunaomba swala hili lizidi kuzingatiwa na Marais hawa, Afrika inazidi kurudi nyuma kwa Udikteta wa Museveni na Kagame...Mungu uibariki Tanzania na Afrika kwa jumla.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo