Taarifa ambazo zimeifikia Blogu hii hivi punde zinasema
kuwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi linawataka Wazazi, Walezi na
wanafunzi kufika katika Ofisi za Elimu Mkoa au Wilaya zao ndipo majina ya
Wanafunzi na Shule walizopangiwa yanapatikana.
Hivyo mzazi au mlezi ukitaka kujua wapi mwanao
amechaguliwa Fika katika Ofisi za Elimu Wilaya au Mkoa utafahamishwa.
Hayo yote ni upuuzi mtupu, watu wote twende wilayani si itakuwa usumbufu, we fikialia mji kama Dar mtoto mmoja atakuwa na watu zaidi ya watano watakaotaka kuona hayo matokeo, baada ya masaa kazaa yatakuwa yamwshachanwa, mbona Halmashauri ya iringa wameweza kuweka kwenye mtandao, TUNAAMINI DAR SIO WABUNIFU, mji mchafu, msongamano, ujenzi Holela na matokeo wanataka tusongamane mjini, Achenu mambo ya kizamani Ilala, Kinondoni na Temeke wasomi hamna TIJA
ReplyDeleteTUWEKEENI MATOKEO KWNYE MTANDAO MBONA MNAFANYA MABO YA KIZAMANI SANA ACHENI HIZO
ReplyDeleteMATOKEO YA DARASA LA SABA 2012
ReplyDeletewekeni matokeo ya wapi kafaulia na ana max ngap?
ReplyDeletetuwekeeni matokeo ya waliochaguliwa kidato cha kwanza.Kama TAMISEMI hawawezi warudishe wizara ya elimu maana wao walituwekea maksi za watoto wote.Iweje nyie mshindwe kwa wachache waliochaguliwa?
ReplyDeletewanaleta uzandiki ao awana lolote
ReplyDeletekama brog imewaxhinda mxeme
ReplyDeleteYani ni kero,mbona majina yoote ya wanafunzi walofaulu zimeonekana mwaka huu 2019 cha ajabu ukitafuta za miaka ilopita hakunaga ni null?!!kwann owe hivo
ReplyDelete