Mwanzilishi
wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin akiongea na waandishi wa
habari leo jijini Dar es salaam juu ya huduma ya vifaa vya kusaidia
kusikia kwa watu wenye matatizo ya kusikia ambayo wanatarajia kuitoa kwa
wakazi wa Dar es salaam zaidi 2000 kwa muda wa siku nne katika Hoteli
ya Serena.
Baadhi
ya wakazi na watoto kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es salaam
wakiwa katika foleni ya kupatiwa matibabu ya huduma ya vifaa vya
kuwasaidia kusikia kutoka Mfuko wa Starkey Hearing leo jijini Dar es
salaam. Mfuko huo umeweka kambi katika hoteli ya Serena jijini Dar es
salaam ambapo wanatarajia kutoa huduma hiyo bure kwa watu zaidi ya 2000
kwa kipindi cha nne.
Mwanzilishi
wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin (kulia) akisaidiana na Mkewe
Tani Austin(kushoto) kumuvalisha kifaa cha kumwezesha kusikia mtoto
Lilian Vincent (leo) jijini Dar es salaam wakati Mfuko huo ulipoendesha
huduma ya kutoa vifaa vya kusaidia kusikia kwa watu wenye matatizo ya
kusikia ambayo wanatarajia kuitoa kwa wakazi wa Dar es salaam zaidi 2000
kwa muda wa siku nne katika Hoteli ya Serena.
Mwanzilishi
wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin (kulia) akisaidiana na Mkewe
Tani Austin(kushoto) kumuvalisha kifaa cha kumwezesha kusikia mtoto
Malechela Juma (katikati) leo jijini Dar es salaam wakati Mfuko huo
ulipoendesha huduma ya kutoa vifaa vya kusaidia kusikia kwa watu wenye
matatizo ya kusikia ambayo wanatarajia kuitoa kwa wakazi wa Dar es
salaam zaidi 2000 kwa muda wa siku nne katika Hoteli ya Serena.
Mwanzilishi
wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin (wa tatu kutoka kulia) akiwa
amemkumbatia Mkewe Tani Austin leo jijini Dar es salaanm katika picha
ya pamoja na Teddy Mapunda (wa pili kutoka kulia) wakati wa zoezi la
utoaji wa vifaa vya kuwasaidia kusikia kusikia kwa watu wenye matatizo
ya kusikia wa jiji la Dar es salaam ambayo itatolewa kwa wakazi zaidi ya
2000 kwa muda wa siku nne katika Hoteli ya Serena.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Hoteli ya Serena wakishirikiana na wafanyakazi wa
Mfuko wa Starkey Hearing kuwavisha vifaa cha kuwawezesha kusikia wakazi
mbalimbali wa jijini Dar es salaam leo wakati Mfuko huo ulipoendesha
huduma ya kutoa vifaa vya kusaidia kusikia kwa watu wenye matatizo ya
kusikia ambayo wanatarajia kuitoa kwa wakazi wa Dar es salaam zaidi 2000
kwa muda wa siku nne.
Mtalaam
wa kusafisha masikio Dkt. Leigh Kassneo akimsafisha sikio mtoto Rashid
Said leo jijini Dar es salaam kabla ya kupata huduma ya kuchunguzwa na
kupatiwa vifaa vya kumwezesha kusikia wakati Mfuko wa Starkey Hearing
ulipoendesha zoezi la kusaidia vifaa watu wenye matatizo ya kusikia
ambapo wanatarajia kutoa kwa wakazi wa Dar es salaam zaidi ya 2000 kwa
muda wa siku nne katika Hoteli ya Serena.Picha na MAELEZO_ Dar es
salaam.
0 comments:
Post a Comment