Mkurugenzi wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akizungumza na wanahabari baada ya
kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam baada ya kupewa
dhamana jana. Kulia ni mmoja wa mawakili wake,
Profesa Abdallah Safari.
Lwakatare akizungumza jambo kabla ya kuondoka
Lwakatare akilakiwa na wafuasi na wanachama wa chma hicho.
0 comments:
Post a Comment