Mkurugenzi
Mtendaji kutoka Equity Aviation Services
(T) Ltd Rosemary Kacungira akichangia
mkutano wa wazi wa maboresho ya utoaji
wa leseni kwa makampuni katika mkutano
wa siku moja wa wadau wa sekta ya usafiri salama wa anga jijini Dar es Salaam Mei.29.2013.
Mwenyekiti wa Baraza la watumiaji wa huduma za usafiri wa
anga Tanzania Juma Fimbo(kulia) na Katibu
Mtendaji wake Hamza Johari wakitoka baada ya kumalizika kwa kikao
kilichowakutanisha wadau wa anga Mei
29.2013 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Fadhili Manongi (kulia) akizungumza wakati wa mkutano huo wa wazi wa siku moja wa maboresho ya
utoaji wa leseni kwa makampuni
mbalimbali yanayohudumia viwanja vya ndege nchini. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TCAA , Juma Mbwana Juma.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Alia Aviation Consultants Mahmud .M. Shamte (aliesimama)
akifafanua jambo katika mkutano huo wa maboresho ya utoaji wa leseni kwa makampuni yanayohudumia viwanja vya ndege
. Mei 30.2013 jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya wadau wa mkutano wa wazi wa maboresho wa utoaji wa leseni kwa makampuni
yanayohudumia viwanja vya ndege nchini wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano
wa siku moja uliofanyika Mei 29.2013, jijini Dar es Salaam
ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Mkutano huo umezungumzia masuala mbalimbali
jinsi ya kuboresha huduma za usafiri wa
anga pamoja na changamoto
mbalimbali zinazowakabili wadau wa sekta hiyo.
Sehemu
ya muonekano wa ukumbi wa mkutano wa
Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) ulikofanyika mkutano wa wazi
wa maboresho ya utoaji wa leseni kwa
wadau wa mambo ya usalama wa sekta ya usafiri wa anga Mei 29.2013 jijini Dar es
Salaam
0 comments:
Post a Comment