Nafasi Ya Matangazo

May 19, 2013

Habari zilizotufikia ni kwamba vurugu zimezuka tena Iringa kati ya Polisi na Wamachinga na kwamba Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa (Chadema) anatafuta na polisi kwa kuhusishwa na uhamasishaji wa vurugu hizo. 

Angalia picha mbalimbali za tukio hilo hapa chini:


Polisi wakiwa kazini katika eneo la tukio.
Vitu mbalimbali vilivyochomwa na wananchi vikiungua huku wananchi wengine wakishuhudia.


Polisi kazini.

Wananchi wakitawanyika huku na kule kujinusuru nafsi zao.

Wananchi wakinawa uso na maji kutuliza nguvu ya mabomu ya machozi.
Posted by MROKI On Sunday, May 19, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo