Mary na warembo wenzake wakishangilia ushindi huo.Mary Chrisostom Rutta, kutoka Mkoa wa Manyara (katikati) akifurahi baada ya kutangazwa mshindi. Kushoto ni Jamia Abdul (Kagera) na Joan John kutoka Lindi ambao waliingia tatu bora.
Rais wa Miss Utalii Tanzania na Jaji Mkuu wa kinyang’anyiro hicho, Gideon Chipungahero ‘Chipss’ (kulia) na majaji wenzake wakikusanya pointi.
DJ Max (kulia) na Mc Adria Cleophace walifanya kazi kubwa ya kunogesha tukio hilo.MREMBO Mary Rutta kutoka Mkoa wa Manyara jana usiku aliwabwaga warembo wenzake 26 katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Miss Utalii mwenye kipaji. Kinyang’anyiro hicho kilifanyika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live.(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
0 comments:
Post a Comment