Baadhi ya abiria wakiwa nje ya basi lao la Kilimanjaroo
Express lenye namba za usajili T860 BVA walilokuwa wamepanda wakitokea
jijini Dar kuelekea jijini Arusha mapema leo asubuhi,ajali hiyo imetokea
eneo la Mombo ambapo chanzo cha ajali hiyo kinaelezwa kuwa ni dereva wa
basi hilo alikuwa akimkwepa muendesha baiskeli,matokeo yake basi hilo
likakosa mwelekeo na kupinduka,aidha katika jali hiyo inaelezwa kuwa
watu kadhaa wamejeruhiwa lakini hakuna aliyepoteza maisha.
March 10, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jamani basi langu. Lakini ajali hutokea na wapo makini sana madereva wa Kilimanjaro
ReplyDelete