Maharusi
Tarcisius Majura Mtaki akiwa katika pozi na Mke wake Kipenzi, Grace
Kindimba mara baada ya wawili hao kuamua kuwa mwili mmoja kwa Kufunga
ndoa Takatifu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenge jijini Dar es
Salaam na
baadae kufuatiwa na tafrija ya kukata na Singe katika ukumbi wa Zhonghua
uliopo
Victoria jijini humo.
Photos by: MD Digital Company; +255 755 373999/ +255 717 002303.
0 comments:
Post a Comment