Wananchi
wakivuka katika sehemu itayojengwa darala la kisasa la Mbutu la Igunga
ambao ujenzi wake umezinduliwa leo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, hatua
ambayo itatatua kabisa tatizo la miundombinu.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa
Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata
maji safi.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya nguzo
za daraja na baadaye anakata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu Igunga

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa
Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata
maji safi.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kutoa ushauri kwa kundi la vijana 10
ambao baada ya kumaliza chuo kikuu wamejikusanya na kuunda kikundi cha
ujasiriamali mjini Igunga wakijishugulisha na Kilimo
0 comments:
Post a Comment