Mwimbaji wa Nyimbo za
Injili,Rose Muhando akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja
wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na
Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika
mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
Mwimbaji wa Nyimbo za
Injili,Enock Jonas(Zunguka) akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika
uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na
Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika
mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
Waimbaji wa kwaya ya Vijana ya
KKKT Usharika wa kanisa Kuu la Mjini Bukoba wakitumbuiza kwenya tamasha la
Shangwe Kagera.
Rose Muhando akiwaburudisha
viongozi walioudhuria Tamasha la Shangwe Kagera katika Uwanja wa Kaitaba mjini
Bukoba.
Mkuu
wa Wilaya Bukoba,Zippora Pangani akihutubia kwenye Tamasha la shangwe Kagera
katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo
lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto
wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
Mkurugenzi wa Beula
Communication,Melkzedek Mutayabarwa akizungumza kwenye Tamasha laShangwe
Kagera,ambapo kampuni hiyo ndio iliyoandaa tamasha hilo.
Masista
wa Kituo cha Tumaini Children’s Centre, Sr.Adventina Kyamanywa(kushoto)na
Sr.Esther wakijadiliana jambo wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika
viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.
Mchungaji Edward Mutashobya akisalimiana
na Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose Muhando wakati wa tamasha la shangwe Kagera
katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.
0 comments:
Post a Comment